Na Sakina Sahabani Msanii chipukizi kwenye filamu za kibongo Amina
Salum a.k.a Tity Baby amefunguka chanzo cha kufumaniwa ni shoga yake
kumchoma kwa boy wake.
Akizungumza na Xdeejayz wiki iliyopita Amani
ambae amecheza filamu ya Ngema na nyinginezo alisema" Maisha tu haya ila
kiukweli rafiki yangu alinifanyia kitu kibaya kwa kunichoma kwa
boyfriend wangu ambae ilibidi anioe naamini hakuna binadamu
aliyekamilika" Alisema Amina
0 Comments