Kama kaka yake ambavyo hakuhudhuria harusi yake, basi Peter Okoye na
yeye amepotezea harusi ya kaka yake Jude Okoye. Ndugu hao walionekana
kwamba wamemaliza tofauti zao lakini baada ya Peter kupotezea harusi ya
kaka yake mashabiki wamekuwa wakimwambia ayamalize na ndugu yake.
Mashabiki hao wanamwambia kupitia twitter lakini baadhi yao
kinachowakuwata ni kuwa blocked. Peter alichukuwa muda wake kuandika
maneno haya kuhusu hii ishu.
0 Comments