Advertisement

Responsive Advertisement

HII NDIO LISTI YA WASANII WATAKAO PANDA KWENYE JUKWAA LA FIESTA MWANZA 2014


Msimu wa Fiesta 2014 umeshaanza na show ya kwanza  itafanyika kwenye uwanja wa CCM Kirumba tarehe 9/8/2014o siku ya Jumamosi. Hii ni list ya wasanii watakaofanya show kwenye jukwaa la Fiesta.
  • Diamond Platinumz
  • Shaa
  • Mkubwa na Wanae
  • Young Killer
  • Ney Wa Mitego
  • Mr Blue
  • Linah
  • Makomando
  • Madee
  • Young Dee
  • Super Nyota
Pamoja na suprise mbalimbali kwenye jukwaa hilo. Watu wa Mwanza kaeni tayari.

Post a Comment

0 Comments