Angelina Jolie wa Bongo’ Irene Paul amekiri kuwa kwa sasa hajaolewa ila anaishi na mwanaume kwa kumpikia na kumpakulia.
Akiongea hivi karibuni, Irene ambaye
mara nyingi ni mchoyo wa kuyaanika maisha yake ya kimapenzi alisema;
“Sipendi watu wajue kuhusu maisha yangu nje ya sanaa. Kwa kifupi
sijaolewa ila sitafuti mpenzi kwani nina mtu ambaye tuko siriasi zaidi.
“Naishi naye, nampikia na kumpakulia ila ndoa bado, nadhani kilichobaki ni hicho kufunga pingu za maisha.”
0 Comments