AKIPELEKWA HOSPT MADAKTARI WANATUULIZA je ana mpenzi?( maana tulikua
tunatoka sehemu moja hivyo tulikua tunamsindikiza) japo tulikua bodin
na kujaamiiina ilikua kawaida sana kwake
kwa uoga tulisema HANA lakini alikua nao na akigombana na one of them ndo anaumwa
Sasa basi juzi nikaambiwa mtu flani muacheni tu awe hata na watoto maana hawezi lala bila kujamiina
SASA NIKABAKI NA SWALI JE HUO NI UGONJWA au nikujiendekeza?
0 Comments