Pop star Justin Bieber aliungana na Kanye West,Kim Kardashian,P.Diddy
na mastaa wengine kwenye mapumziko kwenye visiwa vya Ibiza. Baada ya
party ya pamoja kuisha kila mtu aliendelea na party kivyake na Justin
Bieber alionekana aki-enjoy muda wake na mshichana asiyejulikana.
Mikao yao na ukaribu wao kutokana na picha zilizopigwa wakiwa kwenye
luxury yacht zinaonyesha kabisa wapo kwenye mapenzi. Wawili hao
walitumia muda huo kukaa pamoja,kissing,kunywa na vitu vingine vizuri.
Mapaparazi hawakuwaacha baada ya kuwapiga picha usiku huo kwasababu hadi
asubui walipata picha zao bado wapo pamoja.
0 Comments