Staa wa filamu ambaye anashika nafasi ya kwanza kwa kufungasha Tanzania nzima, Efranciya Mangii ameibuka na kupasua jipu kuwa licha ya kuzalishwa mtoto mmoja lakini hakuna mwanaume aliyewahi kumridhisha kimahaba ( kumfikisha kileleni).
Akiteta
na Mpekuzi wetu jijini Dar es Salaam, Efranciya ambaye amewahi
kukumbwa na skendo ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja
kwa wanawake ( Usagaji ) alisema kila mwanaume anayekuwa naye
hamfikishi popote....
"Sijawahi
na bado siamini kama naweza kupata mwanaume anayeweza
kunifikisha kileleni na hatimaye kunifanya niyafurahie mapenzi.
Hata hivyo, ntafanyaje na mimi nimeumbwa hivi? Kikubwa ni
kwamba nimezaa na ninajisikia faraja sana," alisema Efranciya.
Msanii
huyo aliyeibukia kwenye shindano la Maisha Plus na kujizolea
umaarufu mwingi, alieleza kwamba hajawahi kujihusisha na usagaji
na daima hatathubutu kufanya hivyo.
0 Comments