Wadau Sijui haka Katabia ni Ugonjwa ama
Kawaida, Nimekuwa Mtu wa Kupiga chabo sana yaani kabla sijaoa nilikuwa
nakaa uswahilini sasa kule mabafu yapo nusu nusu na mengine ni mabafu ya
magunia tu, sasa nilikuwa nakatabia kakupiga chabo wadada ama wamama
wakiwa wanaoga ,
kwa sasa nimeoa nina mke na mtoto mmoja ila kale
katabia ka kupiga chabo bado kananisumbua mpaka nikuwa namvizia mke
wangu akiwa anaoga au akiwa amekaa kihasara nampiga chabo bila yeye
kujua hapo napata raha na moyo kusuuzika...Nataka niache haka katabia
nifanyaje?
0 Comments