Mwenyekiti wa Bongo Movie Tanzania
Steve Nyerere amefunguka na kuweka wazi kuwa katika Tasnia ya filamu
Tanzania hakuna muigizaji wa kiume mwenye tabia za kishoga,Steve amesema
hayo leo alipokuwa alipokuwa akielezea changamoto alizokutana nazo
wakati akichat Live kupitia ukurasa wa Facebook Steve amewataka watanzania kuwa na
uzalendo na kuthamini wasaniii wa nyumbani na kazi zao na sio
kuwapakazia na kuwaharibia sifa zao kwa maneno machafu na kuwapakazia
mambo yasiyokuwa na ukweli ndani yake,Steve alisema hayo pale alipokuwa
akijibu swali la moja ya shabiki wa ukurasa wa Facebook wa EATV.
0 Comments