Moja ya mdau mkubwa wa muziki nchini na
mmiliki wa G Records, studio iliyomtoa Alikiba, Guru Ramadhan aka DJ
G-Lover, amezungumzia tofauti iliyopo kati ya Diamond na Alikiba
aliyewahi kuwa chini yake.
Akizungumza na Vijimambo, Lover ambaye akiwa meneja wa Alikiba walitoa album mbili, amewaka bayana uwezo wa kila msanii na jinsi walivyojikuta kwenye biashara.
“Kwa kweli tofauti ukija kwenye masuala uimbaji, wengi wanaongelea hata katika mitandao tofauti tofauti kwamba Ali ana sauti nzuri na anaimba vizuri. Hata Diamond kuna wakati alikuwa anakiri kwamba angekuwa ana sauti kama ya Alikiba basi angefanya mambo makubwa zaidi,” amesema G.

“Lakini unapokuja kibiashara Diamond huwa
anazungumza kUwa yeye muziki wake anaufanya kibiashara na ndo maana ana
team work kubwa ambayo inamsaidia yeye kujua ni kitu gani anatakiwa
kufanya, kuna kitu gani anatakiwa kukifanya kwa upande wa muziki. Sasa
kwa upande wa Ali kwa sasa hivi,
kwa kipindi niko naye nilikuwa na team
ambayo hata yeye alikuwa hajui mimi nipo na akina nani nyuma yangu.
Alikuwa anajua kuwa yupo G, lakini nyuma yangu nilikuwa na watu takriban
thelathini ambao ni team work ambayo ilikuwa inafanya kazi kwa Ali Kiba
kujua ni kitu gani na kitu gani tunatakiwa tufanye ili afike na mpaka
akafika hapo,” aliongeza.
“Diamond naYe anafanya vitu kama hivyo, unaweza kuona Diamond ana team ya watu watatu tu au wanNe ambao wanamsaidia, kwaHiyo utaona Diamond kuna watu kibao ambao amewapa ajira. Kwahiyo Diamond hawezi kuwaangusha watu ambao wapo nyuma yake ambao wamepata ajira kutoka kwake.

Kwa mfano kuna utofauti mkubwa ambao
Diamond amekuja nao ambao ukiangalia ni utaratibu uleule ambao nilikuwa
nikiufanya kwa Ali. Kwahiyo sijui kuna utofauti gani kati ya manamament
ya Diamond na ya Ali Kiba ya sasa hivi
0 Comments