600-Aurora huenda
likavunja rekodi,ambalo limeelezwa kufanana na mnyama Faru anaemkimbiza
adui yake! baadhi ya Watoto wakiliona hili huanza kulia akiwemo mtoto
wa Martin Jusper wa Uingereza anayelimiliki
Black Falcon,ambalo limeundwa na Kampuni ya DARTZ Motorz Company,ya Uchina
Sehemu ya Tangazo la Gari hilo linalotarajiwa kuanza kuuzwa katika soko
la magari la Mashariki ya Kati na Arabuni mapema mwaka huu
Gari hilo Black Falcon kama linavyoonekana kwa ndani; Limetengenezwa
kama sehemu ya maadhimisho ya siku ya NYOKA inayosherehekewa nchini
China
| PICHA JUU: TOYOTA BB miongoni mwa magari yanayotajwa kuwa mabaya zaidi duniani |
Miongoni mwa mengine pia limo Aston Martin Lagonda hilo hapo juu.
Orodha bado ni ndefu; Pichani ni CHEVROLET CORVAIR ambalo likisahaulika 'haki haijatendeka!
Kampuni
ya Magari ya FORD ni miongoni mwa makampuni maarufu ya magari duniani
lakini hapa 'designing' iliwashinda! Hilo ni FORD EDSEL liliundwa miaka
50 iliyopita.
Chevrolet
hivi leo ni gari inayopendwa na kuhusudiwa na wapenzi wa magari duniani
lakini designing hii duh! Hiyo ni Chevy Chevette
iliyoundwa miaka kama 60 iliyopita lakini baada ya kutembea 40,000 Injini yake ikasambaratika kutokana na 'kuchemsha'