Channel O wametangaza majina ya wasanii watakaowania tuzo za CHOAMVA mwaka huu. Diamond ametajwa kuwania vipengele vinne ambavyo ni pamoja na MOST GIFTED VIDEO OF THE YEAR, MOST GIFTED NEW COMER, MOST GIFTED AFRO POP na MOST GIFTED EAST AFRICA