Rapper mdogo kuliko wote
Tanzania "Dogo D" mwenye umeri chini ya miaka 15 kutoka Mwanza
ameachia wimbo unaowadiss wasanii kibao wakubwa wasanii wa mwanza Mo
Music na Yong Killer lakini pia hakuwaacha wasanii wengine kama Nay wa
Mitego, Dogo Janja, Pnc na wengineo.
Ngoma hiyo aliyoipa jina la "Wamenichokoza" akiwa amemshirikisha King Silver amemdiss Mo Music na Nay wa Mitego kwa kusema
"mwanzoni ulipokwenda pamoja tulikwenda kuhit basi nenda, kufanya ngoma yangu ndio unanipiga kalenda
wamitego acha poz kama dem, kama kidume kweli kwanini hupokei simu.
hakuishia hapo aliendelea na kumdiss Young Killer na Dogo Janja kwa kusema
"Hakuna baba mwenye gari
kuna baba mwenye nyumba, msodoki acha uongo kusema umejenge
nyumba"....Dogo janjaro chunga utapauka utadhani goti la mbuzi wakati
kwa madee unakula na kunywa nkujamba tu ushuzi"
alipofikia kumdiss msanii Kimbunga Dogo D alisema
"kimbunga mchawi jipange
kuroga kwangu, wachawi wenzako wamekuwa wake zangu.....", Kala pina
kabuma hajui afanye nini, waambie waeusi navaa miwani na bado naona
gere
sikiliza wimbo wote hapa chini na alichokisema young killer na dogo d mwenyewe
