Advertisement

Responsive Advertisement

DUH ONA MAMBO YA MH LOWASA HAYO!!

Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa kulia akifanya mazoezi asubuhi ya leo mjini Dodoma. Hii ni kawaida ya Mheshimiwa Lowassa kila asubuhi kujifua kabla ya kuingia kwenye shughui zake za kila siku.