Jamani hebu agaliendi yanayotokea
kwenye kambi za JKT. Sijui ni kufundishwa uzalendo huko au ni mateso.
Serekali Ipo Wapi Jamani Kama ndo uonevu wa Aina Hii Upo Huko
..Tutaogopa sasa Kuwapeleka Wanetu Kwenye Mafunzo Hayo ya Jeshi .. Angalia Video Hii Hapa chini Ujionee: