Anaitwa Sibusiso Mthembu, mwenye umri wa miaka 65, ametokea Afrika kusini Kwa zulu-natal alisems ni kweli aliwahi kwenda mbinguni mara nne. Nani ajuaye kama kweli alienda mbinguni lakini inawezekana pia maraya kwanza ilikuwa mwaka 1998 baada ya hapo alienda pia mwaka 2004, 2006 na 2008 kwa mfululizo.
HALI YA KWENDA MBINGUNI ILIANZAJE
Yote hayo yalianza mwaka 1993, alipotembelewa na mtu mweupe (inawezekana malaika) na kwamba kuwa alikuwa anahitajika mbinguni. Baada ya kutembea mbinguni alifanikiwa kuichora ramaji ya mbinguni na kutuletea sisi tusiokuwa na bahati ya kwenda huko. Ili tuweze kuamini ramani yenyewe hii hapa
0 Comments