MCHEZO
kati ya Yanga SC na Big Gullets ya Malawi uliokuwa ufanyike jioni ya
leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam umefutwa kutokana na wageni
kuharibikiwa na gari wakiwa njiani kuja nchini.
Mashabiki kadhaa wa wamefika Uwanja wa Taifa kwa ajili ya kushuhudia mchezo huo, lakini kwa bahati mbaya wakakuta hakuna hata dalili.
Taarifa zinasema Waandaaji wa mechi hiyo, Chama cha Soka Dar es Salaam (DRFA) walifanya jiithada za kupata timu mbadala ya kucheza na Yanga, lakini zikashindikana.
DRFA walijaribu kufanya mazungumzo hadi na Gor Mahia ya Kenya iliyofungwa 3-0 na Simba SC jana, lakini pia imeshindikana.