Advertisement

Responsive Advertisement

RAIS KIKWETE ATUNUKU NISHANI ZA KUMBUKUMBU YA MIAKA 50 YA JWTZ


 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akiwa na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda, Rais wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi, Waziri Mkuu Mstaafu John Samwel Malecela,Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe Magese Mulongo baada ya kuwasili katika Chuo cha Mafunzo ya Maafisa wa Jeshi Tanzania, Monduli, Mkoa wa Arusha. Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa tayari kutunuku shahadaRais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania JWTZ, Mkuu wa majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Davis Mwamunyange katika sherehe za kutunuku nishani zilizofanyika kwenye ukumbi wa Jenerali Kiwelu wa Chuo cha Mafunzo ya Maafisa wa Jeshi Tanzania, Monduli, Septemba 6, 2014.
Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ, Mnadhimu Mkuu wa majeshi  ya Ulinzi nchini, Luteni Jenerali Samuel Albert Ndomba   katika sherehe  za kutunuku nishani zilizofanyika kwenye ukumbi wa   Jenerali Kiwelu wa Chuo cha Mafunzo ya Maafisa  wa Jeshi Tanzania, Monduli Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ Luteni Jenerali Charles Lawrence Mkakala Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ  Meja Jenerali Salum Mustafa KijuuAmiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ Meja Jenerali Raphael Mugoya MuhugaAmiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ Meja Jenerali Joseph Furaha Kapwani.    Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Brigedia Jenerali (Mstaafu) Wilfred Paul Mwakalambile Kabunda
Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Mwakilishi wa  Warrant Officer II Othuman Mohamed Mpemba
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhMORpcjaIcQt7tk3sKRMIWwe6R-BGmTqSkley0gdsrxBC_KC9eSrhz3QGnyK3dqnxBcwxZu6IR-yQ09Pk0JBNfEUBUeoeIWekL85Pi3lqIAwRoQAqh1kAIrIQH4qi4w7iuuj-0dm6OREvh/s1600/jk61.jpg
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Mwakilishi wa Kapteni Bruno Stansilaus Mtillu
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ baada ya kuwatunuku nishani katika sherehe zilizofanyika kwenye ukumbi wa Jenerali Kiwelu wa Chuo cha Mafunzo ya Maafisa wa Jeshi Tanzania, Monduli, Septemba 6, 2014. Kulia kwake ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jeneral Davis Mwamunyange.  Viongozi wakisimama mguu sawa kwa wimbo wa Taifa baada ya zoezi la kutunuku ShahadaAmiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama wakiwa mguu sawa kwa wimbo wa TaifaWaziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue katika sherehe za kutunuku nishani zilizofanyika kwenye ukumbi wa Jenerali Kiwelu wa Chuo cha Mafunzo ya Maafisa wa Jeshi Tanzania, Monduli, Septemba 6, 2014.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na maofisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ baada ya Rais Jakaya Kikwete kutunuku nishani katika sherehe zilizofanyika kwenye ukumbi wa Jenerali Kiwelu wa Chuo cha Mafunzo ya Maafisa wa Jeshi Tanzania, Monduli, Septemba 6, 2014. Kushoto ni Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa na wapili kushoto ni waziri Mkuu Mstaafu John Maelecela.Pichani juu na chini Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na makamanda wakuu wa JWTZ.
Views: 293