Kama wewe ni mwanaume na bado haujaoa na ni mtumiaji uliyekubuhu wa
mitandao ya kijamii kama twitter, facebook n.k basi unakabiliwa na
upigaji punyeto uliokithiri.
Utafiti unaonesha ya kwamba wanaume wanaoshinda muda mrefu wakiwa peke
yao kwenye mitandao ya kijamii wanakabiliwa na tabia ya kupiga sana
punyeto na hali hii huletwa na upweke wanaokuwa nao wakati wa "kuperuzi
na kudadisi".
Si kweli kwamba wanaume wasiojiendekeza kutumia mitandao ya kijamii
hawafanyi punyeto, lakini wale wenye kuzoea sana mambo ya facebook,
jamiiforums n.k wapo kwenye kundi la ufanyaji wa punyeto kupitiliza.
Hivyo kwa wazazi ambao mna watoto wa kiume ambao wana uhuru uliopitiliza
wa kushinda mbele ya vioo vya kompyuta kuweni makini na mienendo ya
wanenu.
0 Comments