Msanii
Shiole na mtangazaji wa Clouds Fm Adam Mchomvu wakikabidhi misaada
katika Hospitali ya Mkoa wa Mara kwa ajili ya majeruhi wa ajali
iliyotokea mjini Musoma leo.
Nay wa Mitego akikabidhi moja ya misaada iliyotolewa na baadhi ya wasanii wa Serengeti Fiesta muda mfupi baada ya ajali.
Mkurugenzi
wa Ufundi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba
akizungumza mbele ya wanahabari (hawapo pichani) juu ya kuahirishwa kwa
Tamasha la Serengeti Fiesta mjini Musoma leo.