Advertisement

Responsive Advertisement

MWANAMUZIKI ISHA MASHAUZI AVAMIWA NA MAJAMBAZI


 Mwanamuziki wa Taarabu Hapa Nchini na Mkurugenzi wa Mashauzi Classic Taarabu Isha Ramadhan Maarufu Kama Isha Mashauzi.

 
Alivamiwa na majambazi  alipokuwa katika ziara yake ya kimuziki sehemu mmoja inaitwa ukunda  Mombasa Nchini Kenya na kumuamuru alale chini na mmoja wao akimuonyeshea bastola huku mwingine akiwa na panga.

Na  kumpora vitu vyote muhimu ikiwepo makeup  pesa pete za dhahabu na  kutoroka na mkoba wake,Isha amezungumza na ummylicious.blogspot na kusema hatasahau tukio hilo. 

CREDITS:ummylicious BLOG

Post a Comment

0 Comments