Advertisement

Responsive Advertisement

NAIBU KATIBU MKUU CHADEMA ZANZIBAR SALUM MWALIMU APOKELEWA KWA SHANGWE VISIWANI HUMO


Mamia ya wananchi na wafuasi wa Chadema kwenye mapokezi ya Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Salumu Mwalimu baada ya kuwasili kwenye ofisi hiyo Darajabovu mjini Zanzibar jana.
Dk.Slaa akiteta jambo na manaibu wake, John Mnyika (kushoto) na Salumu Mwalimu (kulia) kwenye mkutano na wanachama na viongozi wa chama hicho jana.Dk.Slaa akiongea na wanachama na viongozi wa Chadema jana
Wanachama na wapenzi wa Chadema wakimsikiliza Dk.Slaa alipozungumza nao kwenye ofisi za chama hicho huko Darajabovu mjini Zanzibar jana.Salumu Mwalimu akikabidhiwa vifaa vya ofisi kutoka kwa mtangulizi wake Hamad Yusuf (kushoto)Katikati ni Katibu Mkuu wa Chadema, Dk.Wilbrod Slaa.Salumu Mwalimu Akiongea kwenye mkutano wa ndani baada ya kuwasili kwenye ofisi za chama hicho Darajabovu mjini Zanzibar jana.

Post a Comment

0 Comments