AJALI mbaya iliyolihusisha basi la Mrindoko Trans na gari dogo
lililokuwa linaendeshwa na mwanamke anayedaiwa kuwa mke wa mmiliki wa
Hoteli na Klabu ya AQ iliyopo jirani na stendi ya mabasi jijini Arusha
ilitokea jana jioni maeneo ya Kikatiti mkoani Arusha.
Katika ajali hiyo, mwanamke huyo alifariki dunia papo hapo.
0 Comments