Advertisement

Responsive Advertisement

DIAMOND ALIA NA MAUAJI YA ALBINO

katika mtanda wake wa fabebook msanii Nasibu Abdul   DIAMOND alitoa maneno haya  >>>''Ndugu zangu! nafkiri ni Muda wa kubadilika sasa...Tuacheni fikra potofu, za Kipuuzi na ukatili Usio na Maana.. Hivi inamaa unataka kuniambia na hao kina Bill gates Mzee wa kuku, Carlos Slim, Amancio Ortega , Bakhresa na Matajiri wakubwa Duniani pia Walitajirika kupitia Ukatilii huu wa Ma Albino...??? Juhudi na Utendaji wako wa Kazi ndio utao kufanya Uendelee na kufikia Hayo Malengo unayoyataka... Tuache kujidanganya na Kuwatesa Ndugu zetu wasio na Hatia''.....

Post a Comment

0 Comments