Advertisement

Responsive Advertisement

Kali ya Valentine Day !! WACHUMBA WAFUNGA NDOA NDANI YA JENEZA,SHUHUDIA MWENYEWE HAPA


Ndoa BankokMiongoni mwa matukio ya kushangaza kama sio kufurahisha yaliyofanywa siku ya Jumamosi Feb.14 katika siku ya wapendanao Valentine’s day, ni lile la wachumba kumi walioamua kufunga ndoa zao wakiwa ndani ya jeneza huko Bangkok, Thailand.
Ndoa Bankok
Inasemekana kuwa wapenzi hao walifanya hivyo kwa kuamini kuwa ni njia ya kuondoa mikosi katika ndoa zao.
Ndoa Bankok
Ndoa Bankok

Chanzo: Daily Mail

Post a Comment

0 Comments