Mara tu
baada ya kuwasili kutoka Ethiopia Jumatano hii, Raisi Wa Zimbabwe
aliwasili nchini humo na kuhutubia wananchi waliofika kumpokea. Baada ya
kuhutubia raisi huyo ambaye anafikisha miaka 91 tarehe 21 mwezi huu wa
pili(Februari) alianguka akishuka katika ngazi kama ambavyo picha
zinaonekana. Akiwa Ethiopia, Mugabe amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa
Umoja wa Afrika (AU)
1. Alianza Kushuka Katika Ngazi
2. Akakosea Kukanyaga Ngazi na Kuteleza
3. Akaanguka
0 Comments