Hatimaye Wastara Amwita Mr Bond Mpenzi wake hadharani , leo ni siku ya
kuzaliwa kwa MR Bond na wastara ambae kwa muda mrefu amekuwa akihisiwa
kuwa na mapenzi ya Siri na Bond Ameandika maneno haya:
"Happy birthday Bond Bin Sinnan Mungu akupe umri mrefu, sina jipya la
kukwambia maneno yoote umeshayasikia midomoni kwa watu ila touti ni
vitendo tu ambavyo si vyote uliwahi kuviona na kufanyia hicho.ndicho
minachokuahidi kitakuwa kipya katika maisha yako mapya unayoyaanza ya
kutimiza miaka kadhaa leo hii mungu.ni mwema na mwingi wa huruma na
kutoa pale anapoombwa tumwamini yeye anaweza kutuoa kilakitu mungu
akutangulie katika siku yako hii ya kuzaliwa".
Muda kidogo akaibuka na huu mara baada ya kuweka picha hiyo juu;
“We ni zaidi ya manager katika kazi, ni zaidi ya rafiki katika upendo
kwa kweli mungu ni mwema kwa kukuleta duniani na ninaimani anakila
sababu za kukufanya uishi miaka mingi ukiwa na afya njema, furaha na
mafanikio zaidi
Nafurahia kuwa nawe karibu maishani mwangu. Happy birthday my Manager, my Director, my Friend, my boy and my Lov..Happy birthday"

0 Comments