Advertisement

Responsive Advertisement

HUYU NDIYO 'BODIGADI' MPYA WA DR SLAA, MUANGALIE HAPA KWENYE PICHA

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh8u9nye1kItB23EUKh6ewUgzlme3XoV4FNxvBs3RwfoT3LptAfJEGe_WFYSGc6Norq9RnSGHB8mo0i9iOkyM4eGIGw9uFFMPd3gH8Ic77oSYinjVl3NMJ_Kb2EdlIGd_pUK93aifhcZdM8/s1600/DSC_4954.JPG 
Mlinzi mpya wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),  Dk. Willibrod Slaa akimfungulia mlango leo baada ya kuhojiwa kwa saa 6 na polisi kuhusu suala la kutaka kuwekewa sumu na mlinzi wake wa mwanzo.

Post a Comment

0 Comments