Advertisement

Responsive Advertisement

KADJA NITO (WA MAUMIVU) AFUNGUKIA UHUSIANO WAKE KIMAPENZI

Mtangazaji wa Kipindi cha Me & U with love, Shorvien Mohamed (kushoto) akifanya mahojiano na msanii Khadja Nito,  katika Studio za Global TV Online.
Khadja akifafanua kwa upana moja ya swali aliloulizwa kwenye interview hiyo..
... akifurahia jambo muda mfupi baada ya kuhitimisha mahojiano na Global TV Online.
....akiwa katika pozi tofauti.
Baadhi ya wafanyakazi wa Global Publishers LTD, wakiwa katika pozi na Kadja Nito mara baada ya kuhitimisha mahojiano hayo. 
(Habari/Picha: Musa Mateja/GPL)

Post a Comment

0 Comments