Advertisement

Responsive Advertisement

Leo tuna hii video mpya nyingine kutoka Nigeria, OLAMIDE – ‘Falila Ketan


PPPPPOOOSkelembo ni moja ya ngoma kali iliyomtambulisha vizuri Olamide kwenye muziki Afrika, kwenye hiyo boss wa Mavins record kutoka Nigeria Don Jazzy, alipewa collabo.
Olamide karudi tena yani, ameachia kichupa kingine kutoka kwenye album yake mpya ya ‘Street OT’, wimbo unaitwa ‘Falila Ketan’.
Video Queen kwenye huu wimbo ni muigizaji Eniola Badmus kutoka Naija,unaweza kuicheki hapa.. Bonyeza play.

Post a Comment

0 Comments