Advertisement

Responsive Advertisement

Uliiona hii? mchekeshaji wa Kenya anakwambia matumizi ya suti, na mke akikukosea unamfanyaje eti?


OmondiErick Omondi ni miongoni mwa wachekeshaji hodari sana kutoka Kenya, umaarufu wake unazidi kupata uzito kila siku zinavyosogea sababu kila time anakuja na vitu vipya.
Kama ndio kwanza unamfahamu leo, nakukutanisha hapa na video yake akielezea matumizi ya suti ambapo pamoja na ishu nyingine anakwambia jinsi ya kumuadhibu mpenzi wako anapokukosea.

Post a Comment

0 Comments