Advertisement

Responsive Advertisement

ANGALIA PICHA_ LOWASSA AONGOZA MATEMBEZI KULAANI MAUAJI YA ALBINO NCHINI TANZANIA!

Asubuhi ya leo waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa ameungana  na Temeke Family Jogging Club jijini Dar es salaam kwenye matembezi ya kulaani na kupinga mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi(Albino). Matembezi hayo yameandaliwa na vijana wa Temeke na kuungwa mkono na mheshimiwa Lowassa.Katika Matembezi hayo Lowassa amesema hatua za kumaliza ukatili huu zinaanza na kila mmoja  kushiriki katika mapambano hayo.

Mheshimiwa Lowassa akiwa kwenye matembezi hayo leo
Matembezi yanaendelea
Matembezi yanaendelea
Watu wenye mapenzi mema wakuwa wameungana na mheshimiwa Lowassa katika matembezi hayo
Mheshimiwa Lowassa akipunga mkono

Post a Comment

0 Comments