Katika
hali hisiyo ya kawaida, mtoto mmoja ambaye jina lake halijafahaamika
ameanguka mchana wa leo kutoka juu ya jengo la ghorofa, ghorofa ya tano,
huko maeneo ya kota za jeshi, Mwenge Maghorofani..
Kwa
mujibu wa mashuhuda walioshuhudia tukio hilo wameelea kuwa, mtoto huyo
hadi sasa ameumia vibaya sehemu za kichwani na kutoka damu nyingi,
ambapo awali alikimbizwa hospitali ya Lugalo na baadaye amepelekwa
Muhimbili.
kwa taarifa zaidi tutawaletea
chanzo-Eddy blog
0 Comments