Kazi yangu nyingine ni kukuweka karibu
zaidi na vitu ambavyo inawezekana ungevihitaji au ungependa uwe navyo
lakini hukujua pa kuanzia.
Post hii ni maalum kwa wale watu wangu
ambao wanamiliki magari aina ya Altezza na wangependa wajiongeze kidogo,
yani gari liwe na mvuto tofauti na mwonekano wake wa sasa.
Unaweza kuona jinsi ambavyo wenzetu
wameyatengeneza magari yao vizuri na yakapendeza bila kuweka urembo
mwingi, kwangu kitu kikubwa cha kwanza kwenye kulifanya gari livutie ni
rims.
Uzuri ni kwamba ukishapata idea ya
unachokitaka ni rahisi kubadilisha gari lako manake siku hizi mitaani
kuna mafundi wazuri sana na vitu vingi vinapatikana kirahisi.
Usiache kuniandikia comment yako mtu wangu, gari namba ngapi limekuvutia zaidi? nini ulichokipenda?
Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa
0 Comments