Advertisement

Responsive Advertisement

YANGA NOMA SANA!! YAIBAMIZA STAND UNITED BAO 3-2 JIONI HII

Dakika 90 za mchezo wa ligi kuu Vodacom Tanzania bara  kati ya timu ya Stand United  ya Shinyanga na Yanga ya Dar es salaam zimemalizika kwa timu ya Yanga kuifunga Stand United bao 3-2.

Mchezo umefanyika katika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam
Magoli Ya Yanga=>Tambwe 30, Ngasa 45, Msuva 77(Penati)

Magoli Ya Stand United =>Kheri Khalifa 21, 65)

Post a Comment

0 Comments