MAY 30 2015 Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha ilikuwa siku ambayo Mbunge wa Monduli, Edward Ngoyai Lowassa alitangaza rasmi kwamba ataomba kibali cha CCM ili agombee Urais wa TZ mwaka huu.
Baada ya hapo watu wakaigeukia stage ya
burudani ambapo ilikuwepo list pia ya mastaa wa Bongo Fleva ambao
walipiga show ya nguvu.
0 Comments