Habari zilizotufikia
hivi punde ni kwamba gari ya Kampuni ya Another G inayofanya safari zake
Njombe kwenda Iringa imegongana Lori Semi Trailler .
Taarifa zinasema kuwa ajali hiyo imetokea katika eneo la Kinyanambo,njia panda ya Madibila huko Mafinga.
Taarifa zinasema kuwa ajali hiyo imetokea katika eneo la Kinyanambo,njia panda ya Madibila huko Mafinga.
Inaelezwa kuwa waliofariki dunia mpaka sasa ni 22 wanaume 15 na wanawake 7 na majeruhi ni 34.
Hiyo ni kwa ufupi tutaendelea kuwajuza........endelea kutembelea mtandao huu...
Credit- Sauti ya mnyonge blog ( SM Media)
Credit- Sauti ya mnyonge blog ( SM Media)

0 Comments