Advertisement

Responsive Advertisement

HIZI NI SALAAM ZA MAKABILA YETU TUKUMBUSHE NA YAKWENU KAMA IMESAHAULIKA

Tujivunie kuwa watanzania


 inasemekana kuna makabila zaidi ya 120 hapa nchini.Niliamua kuangalia zaidi salaam, hususan za asubuhi, Kutokana na utafiti wangu nimepitia makabila kadhaa na kukutana na maneno yanayotumiaka katika salaam za asubuhi ambayo yanafanana kidogo, hebu tuone maneno hayo ni yapi:




KINGONI: Uyimwiki = Habari za asubuhi


KIZIGUA: Kugona vihi = Habari za asubuhi


KINYAKYUSA: Ughonile = Habari za asubuhi


KIYAO: kwimukaga = Habari za asubuhi


KIPARE: Murevuka = Habari za asubuhi


KIUNGUJA: wambaje = Habari za asubuhi


KISAMBAA: Onga makeo = Habari za asubuhi


KIANGAZA: Mwalamtse = Habari za asubuhi


KINYAMWEZI: Mwangaluka = Habari za asubuhi


KICHAGA: Shimbonyi = Habari za asubuhi


KIMERU: Konumbware = Habari za asubuhi


KIMASAI: Sopai = Habari za asubuhi


KISUKUMA: Mwadila = Habari za asubuhi


KIHEHE: Kamwene = Habari za asubuhi


KIBENA: Kamwene = Habari za asubuhi


KIKINGA: Ulamwihe = Habari za asubuhi


KINYIRAMBA: Ulalaliani = Habari za asubuhi


KIHAYA: Wabonaki = Habari za asubuhi




Kwa leo naishia hapa mwenye nyongeza anaweza kuongeza ili tujifunze pamoja.
Tukutane wakati ujao

Post a Comment

0 Comments