Baada ya ITV kurusha matangazo ya moja
kwa moja siku ndugu Lowassa alipotangaza nia, Mzee Reginald Mengi
amelalamika kupitia ukurasa wake wa twitter kuwa wapo watu walimtukana
sana, haswa mtu mmoja ambaye namba yake kaiweka hadharani.
Kwanini Mengi atukanwe? Mbona ni vituo vingi vilikuwa Live? Mbona hata watangaza nia kama Wassira na Mwigulu ITV walirusha Live?
0 Comments