
Habari
tulizozipata hivi punde ni kwamba mbunge wa Chadema Joshua Nassar
amenusurika kufa baada ya Helkopta aliyokuwa anaitumia kusafiria kwenye
jimbo lake kuanguka kunasa kwenye mti baada ya kupotea kwenye mawingu.
Hata hivyo dereva wa mbunge huyo amesema mbunge huyo na rubani wake wako hospitali na walitoka salama katika helkopita hiyo.
Taarufa kamili tunawaletea hivi punde........
Chanzo-ITV
0 Comments