Advertisement

Responsive Advertisement

KUTANA NA GARI HILI AMBALO LINA SITI KWA AJILI YA MTOTO KABISA




The Excellence Child Safety Seat Concept
Tumezoea kuona gari ikiwa na siti za kawaida tu za kukaa watu wazima.. Wapo walioamua kuwajali watoto wadogo, kama unasafiri na mtoto wako basi nae atakuwa na siti yake ya kumtosha kabisa.

Ona hii picha nyingine ya model mpya ya Volvo.
The Excellence Child Safety Seat Concept
Ndani ya gari kila mmoja anaenjoy kwenye siti yake.

Post a Comment

0 Comments