ngoma imeshika nafasi ya 10 kwenye Top 20 ya clouds fm
hii ni record label mpya ambayo imekuja kuleta mapinduzi
kwenye mziki na kufanya mabadiliko ya kina. Studio iko Mbezi Africana.
Producer anaitwa MAXIMIZER. Tayari wanatamba na hit ya "SIELEWI" toka
kwa KAZI Kwanza first lady "CHEMICAL". kichupa na audio vyote vinafanya
poa mtaani
instagram @kazi_kwanza_records@chemical_tz
email. kazikwanzarecords@gmail.com


0 Comments