Wakazi wa kijiji cha Nikiboe Kaunti ya Igembe nchini Kenya, wamepigwa na
bumbuwazi ya mwaka baada ya kushuhudia mbuzi aliyezaa mtoto mwenye sura
ya binadamu.
Kiongozi wa Ukoo huo Musa Murungi, amesema hii si mara ya kwanza kutokea
kwenye Ukoo wao, akifafanua hali hii iliwahi kutokea miaka 20
iliyopita.
Chifu wa kijiji hicho na wazee wa familia, wameandaa tambiko kama sehemu ya mila zao ili kuzuia hali hii kutojirudia.
0 Comments