Mgombea
wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli(katikati) akiwanadi
Mbunge wa Handeni Mjini Dk. Abdallah Kigoda (kulia) na Mgombea wa Ubunge
Jimbo la Handeni Vijijini Ndugu Mboni Mhita kwenye mkutano wa kampeni
uliofanyika kwenye uliofanyika kwenye uwanja wa Azimio Center.
Mgombea
wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi mgombea
wa ubunge jimbo la Handeni mjini Dk. Abdallaha Kigoda.
Mgombea
wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea wa
ubunge jimbo la Handeni Vijijini Ndugu Mboni Mhita.Mgombea
wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akisoma bango la
vijana wafanya biashara ndogo ndogo wa eneo la Dumila maarufu kama Feri
wakati akielekea mkoani Tanga ikiwa muendelezo wa mikutano ya kampeni za
CCM .
Wananchi wanaoishi eneo la Dumila wakimsikiliza Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli
Mgombea
wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuliakimnadi mgombea wa
ubunge jimbo la Mvomero Sadiq Murad kwenye mkutano wa kampeni za CCM
uliofanyika Mvomero, mkoani Morogoro.
Wanachama
wa CCM wakionyesha mabango ya mgombea wao wa Ubunge Ndugu Sadiq Murad
kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Kihalawa,Turiani
mkoani Morogoro.
Mzee
Yusuph Makamba akihutubia wakazi wa Turiani mkoani Morogoro kwenye
mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea wa CCM pamoja na sera za CCM kwa
wananchi wa Turiani.
Kikundi
cha akina mama wahamasishaji kikiingia uwanjani kwenye eneo la mkutano
wa kampeni za CCM Turiani ambapo Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk.
John Pombe Magufuli alihutubia.
0 Comments