MSHINDI WA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2014 MSIMU WA TATU BI BAHATI MULIGE AKIWA
JUU YA PIKIPIKI YA MATAILI MATATU MAARUFU KAMA BAJAJI BAADA YA
KUKABIDHIWA NA SHIRIKA LA OXFAM KISIWANI KWAO UKEREWE.
BAADHI YA ZAWADI ALIZOTUNUIWA MAMA SHUJAA WA CHAKULA.
MAMA SHUJAA WA CHAKULA KATIKATI AKIINGIA UKUMBINI AKISINDIKIZWA NA WALIMU WENZAKE.
ILIKUWA NI FULL FURAHA NDANI YA UKEREWE.
MAMA SHUJAA WA CHAKULA AKICHEZA NGOMA YA KIKEREWE AKIWA NA WALIMU WENZAKE,NDUGU NA MAJIRANI.
WAWAKILISHI WA OXFAM WAKISEREBUKE NGOMA YA KIKEREWE KATIKA HAFLA YA KUMKABIDHI ZAWADI MAMA SHUJAA WA CHAKULA.
MUWAKILISHI WA SHIRIKA LA OXFAM AKISALIMIA WANANCHI WA UKEREWE WALIOFURIKA KUSHUHUDIA TUKIO HILO.
1 Comments
Best, Well done Oxfarm. Tupo pamoja
ReplyDelete