Mpenzi msomaji wa blog
hii,naomba tuongelee rangi za shanga kwa wale wanaopenda kuvaa shanga.
Najua wengi mtakuwa mnafahamu rangi na maana zake lakini kwa wale wasiojuwa ama wanaopenda kuvaa lakini wanajinunulia rangi yeyote huu ndo wakati mwafaka.
Wanaume wengi wanaopenda wanawake wao wavae shanga ili kusisimuana tu .Je mnafahamu zinamaanisha nini?....Karibu tujifunze pamoja.

Katika swala la mahaba shanga
hutumika kusisimuana haswa pale utakapompata mwanaume anayejuwa kuzitumia
vizuri na unaweza kuvaa hata kumi ukitaka .
Jana niliguswa sana na simulizi la rafiki yangu juu ya shanga, hivyo nikaona boraniandike na wengne wajue.Hii ni sehem ndgo ya simulizi lake.
Jana niliguswa sana na simulizi la rafiki yangu juu ya shanga, hivyo nikaona boraniandike na wengne wajue.Hii ni sehem ndgo ya simulizi lake.
".........Nilikutana na boyfiriend wangu maeneo
ya Shycom …tukaelekea kwenye disko. Tulikuwa tunacheza madensi, halafu
blues, ya Boyz to Men ikaanza kupigwa. Wenye disko walipunguza taa. Mimi na
boyfriend wangu tukakumbatiana na kuanza kucheza Blues.
Miili
yetu iligusana na akaana kunipapasa taratibu kufuatana na beats za muziki.
Nilifurahi sana. Akateremsha mikono yake kwenye kiuno changu.
Alivyogusa
shanga zangu akawa kama mwili wake umekufa ganzi. Alisisimuka we! Akanishika
kwa nguvu, niligundua kuwa ham yake ilikuwa juu....."
Naamini utakuwa umejifunza kitu fulani muhimu kutokana na simulizi hilo.Sasa turudi kwenye mada yetu.
Kuna wengine wanananunua rangi kama pink, blue, gold hizi rangi hazina maana kwenye sita kwa sita ni urembo tu kupendezesha kiuno.
RANGI ZENYE MAANA PINDI UWAPO
KITANDANI NA MPENZI WAKO
Nyekundu: ukimkuta mwanamke amevaa shanga ya rangi
hii unatakiwa kuelewa kwamba mwanamke huyu yupo kwenye hedhi, kwahiyo wewe fanya mengine lakini
sio kutumbukia unless yeye mwenyewe amekuruhusu na wewe uwe na uwezo wa
kutumbukia hata akiwa kwenye hedhi (kitu ambacho kiafya akishauriwi).
Nyeupe: ukimkuta mwanamke amevaa shanga nyeupe
hii humaanisha hana tatizo
lolote litakalomfanya asikupe raha ya sita kwa sita, kwahiyo ukitaka tu muda wowote unapata.
Nyeusi: ukimkuta mwanamke amevaa rangi nyeusi hii humaanisha ya kwamba yupo tayari kukupa raha za
sita kwa sita lakini uwanja wake haujakatwa majani, kwa hiyo chaguo ni lako kama unataka kutumia
siku nzima kutafuta goli haya, ama kama utamsaidia kumkatia majani uwanjani
vizuri zaidi ama kama huwezi yote basi mpe muda akate mwenyewe.
Hizo ndio rangi muhimu
za shanga kwa wale waliokuwa hawajui.
toa maoni yako kupitia simu namba au email na kama una mada yoyote/mkasa unaokuhusu au kumuhusu rafiki yako katika usiku wa wakubwa pia tuambie .
toa maoni yako kupitia simu namba au email na kama una mada yoyote/mkasa unaokuhusu au kumuhusu rafiki yako katika usiku wa wakubwa pia tuambie .
ASANTENI
0 Comments