Ilikuwa
ni siku ya furaha sana usiku wa kuamkia leo kwenye sherehe ya kuzaliwa
Miss Klynn aka MAMA MAPACHA pande fulani hivi jijini Dar es Salaam. Party hii ilikuwa ni yaaina yake kwani ilikuwa ni kwa watu walioalikwa
tu, kama unavyoona picha jinsi walivyokuwa safi na namuona Boss Mengi
akiwa mwenye nyuso ya furaha baada yakutizama show kali ya Diamond.
0 Comments