viongozi mbalimbali wa CHADEMA wakiwamo Shaban Mambo Mwenyekiti wa
chadema Kanda ya magharibi na Rajabu Bujoro Mwenyekiti wa Kasulu
wamefungua mkutano hali ikiwa shwari watu wa Kasulu wakionesha ustaarabu
wa hali ya juu. Lakini kufumba na kufumbua alipopanda jukwaani Dr Slaa
Katibu mkuu wa CHADEMA Taifa kikundi cha watu kiliibuka na mabango
mbalimbali huku wakitamka kwa jazba maneno mbalimbali ya kumtaka Zitto
na kukejeli upngozi wa juu wa CHADEMA.
Katibu Mkuu ameonesha ustaarabu na demokrasia iliyokomaa alipo ruhusu mabango yasogezwe mbele na kuwataka askari polisi wasiwachukulie hatua wenye mabango. Pia aliwauliza wanakasulu ni wangapi wanataka mkutano uendelee wengi wamenyoosha mikono kutaka mkutano uendelee. Hali si salama sana na nimeacha mpaka naingia mitamboni polisi wanatafuta mbinu mbadala za kuimarisha ulinzi na kuongeza kikosi.
======================
Habari Zaidi

Wakuu,taarifa
za kusikitisha ni kwamba Mkutano wa Dr.slaa umevunjika Kasulu,amepigwa
mawee na vijana wasiojulikana akiwa Jukwaani,Polisi wanapiga mabomu ya
Machozi Muda huu kutawanya watu,haijulikani Slaa ameumizwa kiasi gani
lakini polisi wamewahi kumuokoa na kumtorosha kusikojulikana.
hali ni tete wakuu,naomba Munipe muda wa kuwawekea Picha hapa.
Pia awali Mkutano ukiwa unaendelea,Waitara ambaye ni Mkurugenzi wa CHADEMA alitangaza kuwa Matamko na mambo mengine yote ya kumtibulia Dr.slaa yanaratibiwa na Kijana Habib Mchange na Diwani mmoja wa Mwanza(Hakutaja jina).
MODS naamini mnawatu KASULU,wapigieni simu MUDA huu,Mpigieni Tumaini Makene mjue Ukweli huu.naomba muiache Post watu wachangie
CHANZO: JAMII FORUM
0 Comments