Advertisement

Responsive Advertisement

AIBU: AAMUA KUVUA NGUO SALOON NA KUWAAMBIA WENZAKE WAMPIGE PICHA AKIWA MTUPU AZITUME KWA BOY WAKE...!!


Kioja hiki kimetokea kwenye saloon moja sinza, demu ambae jina lake halikuweza kupatikana kirahisi ila inasemakena ni maarufu hapa mjini kwa kuwa company na wasanii wa bongo flava , alifika saloon na kuanza kuwaambia wenzake kuwa anatoka na wasanii wakubwa hapa bongo na baada ya muda mfupi alivua nguo na kuomba kupigwa picha za utupu ili amtumie boy wake kwenye whats app...kila aliye kuwa pale saloon aliruhusiwa kupiga picha kwa simu yake bila shida......Hapo sasa sijui ni kutafuta umaarufu ama nini?

Post a Comment

0 Comments