Snura akipafomu katika mashindano ya Kahama Super Model |
Juzi
usiku msanii wa Muziki wa kizazi kipya Snura aliishiwa nguvu baada ya
kuingia ukumbini kupaform huku akishuhudia vichwa vya mashabiki
wasiozidi 50 ambao ndio pekee walioshukudia mashindano ya mavazi mjini
Kahama (Kahama Supper Model).
Show
hiyo ya juzi iliyofanyika katika ukumbi wa Kapaya, ilitanguliwa na
Mvua mchana na hatimaye kuanza majira ya nne usiku ilikuwa ni mahusuai
kwa ajili ya kumpata bingwa wa kutokelezea ambapo hata hivyo washindi
waliopatikana wakuwekwa wazi kuwa watapewa zawadi gani.
Mashabiki walioshuhudia show majanga |
Viti vilivyobaki tupu katika show hiyo |
Mkurugenzi wa No Easy Production |
wadau wakiwa katika show hiyo |
Snura akiwa chini akifanya yake |
Mgeni rasmi katika show |
0 Comments